DulloSports

Ronaldo De Lima amuonya Baloteli.
RONALDO de Lima amemshauri mshambuliaji wa AC Milan, Mario Balotelli, asiache kipaji chake kipotee kama nyota wa zamani wa Inter Milan na Brazil, Adriano.

Aliliambia Gazzetta dello Sport: “Balotelli amejaliwa kipaji kikubwa, anajua namna ya kuufanya mpira katika hali fulani na kuutumbukiza wavuni.

“Lakini hapaswi kuridhika na alipofikia na hapaswi kutumia umri wake kama kisingizio cha kufanya vitu vya kipuuzi uwanjani.

“Kama straika anajua kucheza, lazima wapinzani watamchokoza kwa kumchapa viatu. Nafahamu vyema hili, kama ningekuwa narudishia kila anayenipiga kiatu… sote tunafanya mambo ya kijinga maishani mwetu, lakini ni lazima tubaini kwamba ni wakati wa kuacha. Hesabu hadi tano kabla ya kujibu.

“Ananikumbusha Adriano, ingawa suala lao ni tofauti. Adriano alikuwa na ufundi na nguvu, hivyo angefanya chochote uwanjani, lakini kulikuwa na wakati uzalendo unamshinda.”

“Ushauri wangu kwa Balotelli ni huu: usipoteze kipaji chako. Kwenye Uwanja wa Maracana unaweza kujua nani mchezaji wa kweli na nani anafulia, hivyo namwambia asipagawishwe na hali hiyo. Kucheza pale kunakupa mizuka, kwa sababu ni moja ya viwanja bora zaidi duniani. Sikuwahi kufunga goli la kimashindano katika uwanja wa Maracana.”

Hispania yatwaa ubingwa wa Ulaya U-21 kwa kuifunga Italia 4-2.
KIUNGO Thiago Alcantara amekuwa kivutio katika ushindi wa kikosi cha vijana cha Hispania chini ya miaka 21 wa mabao 4-2 dhidi ya Italia na kutwaa Kombe la Ulaya kwa vijana barani humo, baada ya mchezaji huyo anayetakiwa na Manchester United kufunga mabao matatu mjini Jerusalem.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 wa Barcelona amekuwa akihusishwa kwa kiasi kikubwa na kuhamia Old Trafford.

Alcantara, aliyekuwamo kwenye kikosi cha Hispania kilichoshinda taji hilo miaka miwili iliyopita nchini Denmark, aliifungia timu yake bao la kwanza dakika ya sita, lakini Italia ikasawazisha haraka kupitia kwa Ciro Immobile dakika ya 10.

Thiago akafunga tena dakika ya 31 na 38 kwa penalti, kabla ya Isco kufunga dakika ya 66 kwa penalti pia na Borini akaifungia Italia dakika ya 79 kufanya 4-2.

Kikosi cha Hispania leo kilikuwa; De Gea, Montoya, Bartra, Martinez, Moreno, Koke/Camacho dk86, Illarramendi, Thiago, Tello/Muniain dk70, Morata/Rodrigo dk80 na Isco.

Italy U21; Bardi, Donati, Bianchetti, Caldirola, Regini, Florenzi/Saponara dk58, Rossi, Verratti/Crimi dk76, Insigne, Borini na Immobile/Gabbiadini dk58.

Mabingwa: Nyota wa U21 ya Hispania wakishangilia na taji lao baada ya kuifumua Italia 4-2

Shujaa wa Hat-trick: Thiago Alcantara amefunga mabao matatu kipindi cha kwanza kuipa ushindi Hispania

Nyota wa Hispania wakishangilia bao la Isco

Alessandro Florenzi wa Italia

Lorenzo Insigne wa Italia (kushoto) akimtoka beki wa Hispania, Martin Montoya

Aberto Moreno wa Hispania akijaribu kumpitia Ciro Immobile wa Italia

Shujaa: Thiago Alcantara (katikati) akishangilia bao lake la tatu na Cristian Tello (mbele) na Alvaro Morata

Kutoka kushoto; Giulio Donati, Matteo Bianchetti na Marco Verratti wakilalamikia penalti

Cristian Tello wa Hispania (kushoto) akikabiliana na Lorenzo Insigne wa Italia

Montoya wa Hispania (kushoto) akienda chini baada ya kupitiwa na Vasco Regini wa Italia

‘Yohana Mtakatifu’ kuzichapa Friends Corner Manzese.
Kwa mara nyingine limeandaliwa pambano la ngumi la ki aina yake ni kati ya mabondia wakimya na wapole usoni  na wasiopenda kabisa kuongea Yohana Robert  aliekuwa bondia wa taifa na mkongwe katika masumbwi atakapopigana na Yohana Mathayo katika ukumbi wa friends corner manzese siku ya jumapili  tarehe 30 mwezi huu.

Pambano hilo linakuwa la kiana yake kwa sababu ya sifa za hao mabondia kuwa  ni wacha mungu wazuri kiasi cha yohana Robert  kuitwa  na wapenzi wa masumbwi “mtakatifu  ngumi jiwe” ni mtu mwenye ngumi mojamoja ambazo ni nzito sana  na hatari kwa mpinzani  nae bondia Yohana Mathayo wapenzi  humwita  “Tembo mtoto”  kutokana na umbo lake kubwa, pia humwita “Yohana mbatizaji” kwani mara nyingi huwaachisha ngumi wapinzani  wake kwa kipigo au kubadilisha majina yao, mathayo ana ngumi kali za kuvizia, hutulia muda mrefu na akiachia ngumi moja ikikupata vizuri mchezo umekwisha ni mtaalamu wa kuvizia.

Pambano hili limeandaliwa na mwalimu Hatibu ambae ni mdau wa karibu wa ngumi na tunaliita pambano la aina yake kwa mabondia wote kufanana majina na matendo na huwa na tabia ya kubeba na kusoma biblia kabla na baada ya pambano ni wapole watulivu lakini ni watu hatari sana ulingoni na lolote laweza tokea wanapocheza.

Pambano hilo ambalo litasimamiwa na PST  chini ya Anthony ruta na mapambano ya utangulizi kuratibiwa na Ibrahim kamwe bigright.

Mwalimu Hatibu anaripoti ya  kuwa maandalizi yanakwenda vizuri  vibali vyote tayari na mabondia watakaowasindikiza kina  Yohana  na mikataba yao imekwisha kamilika ni Fabian lyimo ambae pambano la mwisho alifanya vizuri Indonesia  atazipiga na  musa sunga nae Bakari ustadh atazipiga na frank zagarino, wakati huohuo Tasha mjuaji na Rama johncena watatoana jasho.

Pia Yule bingwa wa PST uzito mdogo (minimum weight) goldsilver anaumana vikali na herman Richard. Nae Ibrahim kamwe anathibitisha hilo na linaweza kuwa pambano kali sana la vunja jungu ambalo halijawahi kutokea kutokana na sifa za mabondia hao.

IBRAHIM KAMWE

+255 -713 / 767 / 784 – 501991

kamwe@hotmail.com

Wachezaji wa Tanzania waitiwa ulaji Thailand.
KLABU ya Thai Port Football ya Thailand inatafuta wachezaji nchini Tanzania kwa ajili ya kucheza soka nchini humo na katika nchi nyingine barani Ulaya.

Kupitia kwa wakala wake, klabu hiyo imetuma taarifa kupitia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikitaka wachezaji wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 28 kwa ajili ya kuwafanyia majaribio ambapo watakaofuzu watacheza nchini humo na katika klabu nyingine za Ulaya ambazo wana ushirikiano nazo.

Wachezaji wenye nia ya kufanya majaribio wanatakiwa kutuma taarifa za wasifu wao (CV) kwa klabu hiyo kwa njia ya emaili, wawe na pasi ya kusafiria pamoja na pasi ya mchezaji (player passport).

Wakala atapitia vitu hivyo, na kwa wachezaji atakaowahitaji atawatumia tiketi za ndege na viza kwa ajili ya kwenda kufanya majaribio nchini humo, na watakaofanikiwa kabla ya kusaini nao mikataba watawasiliana na klabu zao nchini (kwa wale wenye klabu).

Katika hatua nyingine, TFF inawashukuru washabiki kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Taifa Stars na Ivory Coast (The Elephants) iliyochezwa juzi (Jumapili) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwitikio wa washabiki katika mechi hiyo ilikuwa ni moja ya chachu ya kiwango kilichoonyeshwa na Taifa Stars, kwani walishangilia mwanzo hadi mwisho licha ya kupoteza kwa mabao 4-2.

Ni matarajio utakuwepo mwitikio kama huo huo katika mechi ijayo ya Taifa Stars ya michuano ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Nyumbani (CHAN) dhidi ya Uganda (The Cranes) itakayochezwa Dar es Salaam kati ya Julai 12-14 mwaka huu. Stars itaingia tena kambini Julai 4 mwaka huu kujiandaa kwa mechi hiyo.

Waliovaa vichupi Miss Morogoro washushwa.
Shindano  la kumsaka  Redd’s Miss Morogoro 2013 limeingia  doa baada ya jopo la majaji katika  shindano  hilo kuwashusha jukwaani na warembo  wawili kutokana na kwenda kinyume na maadili ya kitanzania katika mavazi .

Hatua ya majaji  hao  kuwaengua  warembo hao kwenye kinyang’anyiro cha tano  bora  lilitokea  juzi wakati wa shindano hilo  la kumsaka  Redd’s Miss Morogoro lililofanyika katika ukumbi wa Hotel Nashera Morogoro na  kushuhudia  na  waziri wa zamani wa fedha Mustafa Mukulo na mratibu  wa MISS Tanzania  Hashim Lundenga.

Jaji  mkuu katika  shindano  hilo Alex Nikitas  alisema  kuwa  jopo la majaji likisaidiwa na majaji  wenzake  Kudra Lupatu, Baraka Bagenyi ,Flora Florence na Asha Saleh  limeamua  kuwafuta katika ushiriki warembo hao  wawili kwa sababu  tofauti  ikiwemo ya kuvaa nusu uchi na ile ya mshiriki Neema Joel  kushiriki Arusha na Morogoro ndani ya mwaka mmoja.

Hata  hivyo  warembo hao  walilazimika  kushuka jukwaani hapo  huku wakionyesha kutokwa na machozi  kutokana na aibu  hiyo iliyowapata.

Katika  shindano  hilo ambalo lilidhaminiwa na Naf Beach Hotel Mtwara kwa karibu asilimia  60  akiwa ni mdhamini pekee  ukiacha  wadhamini mkuu Redd’s kujitokeza kudhamini ,mrembo Diana Laizer (21) ndie  aliyeweza  kutangazwa bingwa wa taji  hilo mwaka 2013 na kuzawadiwa kiasi cha Tsh 350,000 zilizotolewa na mdhamini NAF Beach Hotel Mtwara

Huku  mshindi wa pili akiwa Sabra Islam (18) na watatu ni mrembo Muzne Abduly (19) ambao kwa pamoja walipewa zawadi ya Tsh 200,000 kila mmoja zawadi  kutoka Naf Beach Hotel Mtwara

Kwa upande wa nafasi ya nne ni mrembo, Ummy Mohamed (21) na mwezake  Farida Iddy (18)  alifunga pazia kwa  tano  na wote hao  wataungana na wezao  watatu kushiriki shindano la Redd’s Miss Kanda ya Mashariki ambalo  pia yamepangwa kufanyika Mkoani Morogoro wakati upande wa zawadi  washindi hao wa wanne na  watano  walipewa kiasi cha tsh 100,000 kila mmoja  kutoka Naf Beach Hotel wakati  washiriki  wengine  wote wakiwemo  wawili  walioenguliwa walipewa kifuta jasho cha Tsh 50,000 kila mmoja na nauli ya  kurejea makwao

Washiriki hao  waliopewa  kifuta jasho cha Tsh 50,000 kila mmoja kutoka kwa mdhamini mkuu Naf Beach Hotel ni Pendo David,Saida Khamis,Alenia Shayo pamoja na Neema Joel, Safina  walioenguliwa  kushiriki shindano  hilo.

warembo  wakipita  jukwaani kwa vazi la ufukweni

Vazi  lillowaponza warembo  wawili  waliozidisha kuvaa nusu uchi

Mrembo Safina Chuma mwenye namba  5 aliyevalia gauni la nembo ya  Taifa  ambae  alitimuliwa  kuendelea  kushiriki kutokana na kuvaa nusu uchi

hapa  Saphina Chuma kutoka  Kilombero ambae  alienguliwa baada ya kupanda  jukwaani na chupi hivyo kukosa  sifa  ya  kuendelea na shindano hilo hapa akipewa  kifuta jasho

Mshiriki  Neema  Joel mwenye namba 8  wa  pili kulia akiwa na  washiriki wengine kabla ya kuenguliwa kwake kwa  kuvaa nusu uchi na kushiriki shindano  hilo Arusha na kutaka tena Morogoro kinyume na sheria  za shindano hilo ambalo linazuia mrembo kushiriki shindano hilo mara mbili kwa ndani ya mwaka mmoja

Hapa jaji  mkuu Alix James  NIkitas wa shindano  hilo akiwashusha  jukwaani Neema na Safina kwa  kukosa  sifa  za kushiriki shindano  hilo

Mrembo aliyevaa nusu  uchi  kupitiliza akitoka jukwaani baada ya kufukuzwa

Neema Joel kulia  pia akitolewa jukwaani baada ya kushiriki Arsha na kuja Morogoro tena

Hapa kabla ya mchujo  wa tano  bora  jaji akieleza  sababu za kuwaengua  washiriki  wawili waliokwenda kinyume na aadili ya mamiss

Mgeni rasmi Mhe Mustafa Mukulu (mwenye koti jeusi) akimuuliza mratibu mkuu wa Miss Tanzania Taifa Hashim Lundenga  juu ya vichupi  vya  washiriki hao

Stars kuingia kambini tena Julai 4.
Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen ameiita tena kambini timu hiyo Julai 4 mwaka huu kujiandaa kwa mechi ya kutafuta tiketi ya kucheza Fainali za Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) zitakazofanyika mwakani nchini Afrika Kusini.

Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager inavunja kambi leo (Juni 17 mwaka huu) baada ya mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia, kundi C Kanda ya Africa dhidi ya Ivory Coast iliyochezwa jana (Juni 16 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Kim amesema wachezaji watakaoitwa kambin ni wote walioko kwenye timu hivi sasa isipokuwa Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wanaocheza mpira nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) katika klabu ya TP Mazembe Englebert.

Wachezaji hao ni Juma Kaseja, Aishi Manula, Aggrey Morris, Mwadini Ally, Ally Mustafa, Shomari Kapombe, Kevin Yondani, Erasto Nyoni, Haroub Nadir, Mwinyi Kazimoto, Frank Domayo, Mrisho Ngasa, Khamis Mchana, Amri Kiemba, Salum Abubakar, Simon Msuva, John Bocco, Vicent Barnabas, Mudathiri Yahya, Athuman Idd, Haruni Chanongo na Zahoro Pazi.

Mechi hiyo namba 37 dhidi ya Uganda (The Cranes) itachezwa jijini Dar es Salaa kati ya Julai 12 na 14 mwaka huu wakati ile ya marudiano itafanyika wiki mbili baadaye katika Uwanja wa Mandela ulioko Namboole nje kidogo ya Jiji la Kampala.

Wengi wajitokeza usaili wa Epiq Open Mic.
Baada ya kuzinduliwa kwa mafanikio wiki mbili zilizopita katika viwanja vya Mwembe Yanga, mamia ya vijana wamejitokeza mwishoni mwa wiki hili katika viwanja ya ofisi za Zantel kuhudhuria usaili wa Epiq Open Mic.

Huku ikiwa imebaki wiki kadhaa kabla ya kuanza kwa msimu mya wa Epiq BSS, Zantel kwa kushirikana na Marco Chali Foundation, wamezindua Epiq Open Mic ili kuwapa vijana nafasi ya kuonyesha vipaji vyao.

Fursa hii, ya Epiq Open Mic, inawapa nafasi vijana wenye vipaji vya muziki fursa ya kusikilizwa na mtayarishaji wa muziki maarufu nchini, Marco Chali pamoja na jopo la wanamuziki kama Godzila na Dknob, ambao wanawashauri mambo kadhaa kuhusiana na muziki wao, na huku wale wenye vipaji zaidi wakipewa nafasi ya kurekodi na Marco Chali.

Akizungumzia Epiq Open Mic, Marco Chali anasema hii ni fursa ya vijana kujifunza misingi ya muziki, lakini pia kuweza kurekodiwa muziki wao.

‘Lengo la Epiq Open Mic ni kuwahamasisha vijana kushiriki katika kukuza vipaji vyao, kuongeza uelewa wa mambo ya muziki pamoja na kuchangamkia fursa zilizopo katika muziki’ alisema Chali.

Marco Chali ambaye pia ni mtunzi na mwimbaji, ametayarisha nyimbo nyngi ambazo zimeshinda tuzo ndani na nje ya nchi za wasanii kama Ms. Trinity kutokea Jamaica, A.Y wa Tanzania, Prezzo wa Kenya, J Martins kutoka Nigeria na wengine wengi.

Kwa upande wake, Afsa Biashara Mkuu wa Zantel, Sajid Khan alisema kampuni ya Zantel inaaminini katika kuwawezesha vijana kufikia ndoto zao.

‘Muziki ni ajira kwa vijana wengi, na kuamini hilo ndio maana kampuni ya Zantel imeamua kuwafikia vijana wote wenye vipaji na kuwapa nafasi ya kuonekana’ alisema Khan.

Vijana waliojitokeza wakiwa kwenye foleni.

Jopo la washauri likongozwa na Marco Chali (wa pili toka kulia), akifuatiwa na Dknob, Walter na mwisho kulia ni Godzila

Mmoja wa vijana akiimba mbele ya washauri.

Mmoja wa wasichana akionyesha uwezo wake.

Vijana waliojitokeza wakijiandikisha.

Viongozi wa Tenis kupatikana Juni 22.
WAKATI zoezi la kuchukua na kurudisha fomu za kugombea uongozi wa Chama Cha Tenisi Tanzania (TTA), lilifika tamati tarehe Juni 17, Mwenyekiti anayemaliza muda wake, Denis Makoi amechukua fomu ya kutetea kiti hicho.

Wagombea 14 wamejitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika chama hicho na ucahaguzi mkuu unatarajiwa kufanyika Juni 22 jijini Dar es Salaaam.

Kwa mujibu wa Ofisa Michezo wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Benson Chacha, wagombea wengine waliochukua fomu ni Mtangazaji wa Magic FM, Fina Mango na Mathisut Sele Mbajo ambao pia wanawania Uwenyekiti wa chama hicho.

Alisema wagombea wengine waliojitokeza kuchukua fomu ni Joyce Marwa akiitaka nafasi ya Uhasibu, William Kallaghe aliyejitosa ukatibu mkuu, Josima Mutale anawania ukatibu msaidizi huku wanaowania ujumbe wa Kamati ya Utendaji ni Kiango Kipingu, Swalehe Malimbo, Gilbert  Peter, Majaliwa Majuto, Nico Jonas, Morris Loje na Ismail Ngulingo.

“Zoezi hili limeenda salama, mimi nawasisitiza tu wadau mchezo huu wawachague viongozi ambao wanaamini watawapa ishirikiano wa kutosha                      katika kipindi chake cha uongozi, siku ya usaili kwa wagombea hao itatangazwa mapema kabla ya siku ya uchaguzi,” alisema Chacha.

Fomu za uongozi BFT zaanza kutolewa.
Na Elizabeth John

WADAU wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT) wameshauriwa kujitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi mbali mbali za uongozi wa chama hicho baada ya viongozi waliopo madarakani kumaliza muda wao.

Hadi jana hakuna mgombea aliyejitokeza kuchua fomu za ugombea katika chama hicho ambapo zilianza kutolewa Juni 4 mwaka huu katika Ofisi za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) jijini Dar es Salaam.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Ofisa Michezo wa BMT, Benson Chacha alisema hadi jana hakuna mwanachama yeyote aliyejitokeza kuchukua wala kuulizia fomu za kuwania uongozi katika chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Julai 7 jijini Mwanza .

Alisema usaili kwa wagombea ambao watajitokeza kuwania nafasi za uongozi utafanyika Julai 5 kabla ya kuanza kwa taratibu za uchaguzi wa chama hicho ambapo wanachama na wadau mbalimbali watashiriki uchaguzi huo.

“Nawaomba wadau wajitokeze kuwania nafasi za uongozi pamoja na kushiriki uchaguzi ili baadae wasije kulalamika maana hii ni fursa pekee kwao wanapaswa kuitumia,” alisema Chacha.

Fomu zinazotolewa ni kwa nafasi ya Rais, Makamu, Katibu Mkuu, Mweka Hazina na wajumbe tisa na gharama za fomu hizo kwa  nafasi ya Rais sh 150,000, Makamu, Katibu Mkuu, Mweka Hazina ni sh 100,000 na 50,000 kwa wajumbe.

Nyota ya Salma wa Segere yaanza kung’aa.
Na Elizabeth John

MWANADADA anayetamba katika tasnia ya muziki wa Taarabu nchini, Salma Swed ‘Salma Segere’ ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Nyota Njema’ ambao umeanza kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio.

Mbali na kibao hicho mwanadada huyo alishawahi kutamba katika vibao vya Segere, Lindima, Alongore na vinginevyo ambavyo vimeimbwa na kundi la muziki huo la Wazazi Culture Troup ‘Segere Original’.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Salma Segere alisema anamshukuru mungu kazi hiyo inafanya vizuri katika tasnia ya muziki huo ikiwa ni pamoja na kupokelewa vizuri na mashabiki wa Taarabu nchini.

“Namshukuru mungu kazi hii imepokelewa vizuri na mashabiki wangu, kwani tasnia ya muziki sasa ina wasanii wengi sana hadi kazi yako ikikubalika ujue umefanya kazi nzuri na umeumiza sana kichwa,” alisema.

Alisema kwasasa yupo katika mchakato wa kuachia video ya kazi hiyo ambayo anaamini itafanya vizuri pia kutokana na mazingira ambayo ameyatumia kutengeneza kazi hiyo.