Wanaowania Miss Utalii Kinondoni waendelea kujifua.

Washiriki wa Miss Tourism Kinondoni wakiwa katika Pozi ndani ya Kambi yao ambapo, wanafanyia mazoezi kwa ajili ya fainali hizo zitakazo fanyika Tar 20.07.2012
Warembo washiriki wa Miss Tourism Kinondoni wakiwa wamevalia Nguo za heshima huku kila mmoja akiwa katika pozi la Nguvu, Kambini wakati wa maandalizi ya kumpata mrembo wa Miss Utalii Kinindoni

Share this post:

Recent Posts