Friday , 21 October 2016
Latest News

Yaliyojiri Mitikisiko ya Pwani PTA Hall.

Bi Mwanahawa Ally wa East Africa Melord akiimba huku mlinzi wake akiwa amesimama pembeni yake
Kiongozi wa bendi ya Cost Omar Tego akiimba mbele ya mashabiki
Mtangazaji wa Time Fm Adija Shaibu (Dida) ambaye alikuwa Mc wa Onyesho hilo akijipodoa.
Wanamuziki wa Mashauzi Classc Isha Mashauzi (Kushoto) akiwa na mpiga kinanda wa bendi hiyo Sabit Abdul.

Baadhi ya mashabiki waliofulika katika onyesho hilo.

Nini kanga moja? Wanenguaji hawa wa AT ni funga kazi.

Mwanamuziki machachari kwa miduara, AT akifanya mambo yake jukwaani.

Apo chacha…!

..wakamalizia na staili hiyo.

Mwanamuziki wa Bendi ya Cost Modern Taarab, Omari Tego akionesha umahiri wake wa kucharaza gitaa.

Mtamgazaji wa Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ akiongoza shoo hiyo.

Usiku wa kuamkia leo Desemba 17, 2011 ulikuwa ni full burudani katika shoo ya Mitikisiko ya Pwani iliyofanyika katika ndani ya Ukumbi wa PTA chini ya kituo nambari moja cha burudani Bongo, Times FM.

Katika onyesho hilo bendi mbalimbali za taarabu zilitumbuiza na kutoa burudani murua kwa mashabiki wa miondoko ya Rusha roho.
 
PICHA ZOTE KWA HISANI YA ERICK EVARIST na ISSA MNALLY WA GPL

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*