Monday , 14 July 2014
Latest News

STARTV Live

45,874 total views, no views today

VN:F [1.9.22_1171]
Rating: 6.8/10 (208 votes cast)
VN:F [1.9.22_1171]
Rating: +39 (from 119 votes)
STARTV Live, 6.8 out of 10 based on 208 ratings

19 comments

 1. DENIS PHILIPO

  MIMI NIKO ROMBO KILIMANJARO NAWAKUBALI MKO JUU ILA MBONA CWAPATI LIVE?

 2. kweli nchi hii haina mwenyewe.kila kitu kinafanyika kisiasa zaidi.

 3. thanks star tv .you keep us like in bongo

 4. Nawapendaje Star TV? Big up!

 5. clouds fm mbona haipatikani tena, kwanini?, mnatunyima uhondo (Reply please!)

 6. Mimi Juma Nyumayo wa Songea, Kwa mara ya kwanza nasifia juhudi za Dullonet hadharani kwa kuniunganisha na stations mbalmbali hasa hii ya TV iliyopo katika mtandao StarTv ni bombaaaaaaa! Hureeeeeeeee! haya ndiyo mambo bwanaaaaaa1

 7. Mimi Juma Nyumayo wa Songea, Kwa mara ya kwanza nasifia juhudi za Dullonet hadharani kwa kuniunganisha na stations mbalmbali hasa hii ya TV iliyopo katika mtandao StarTv ni bombaaaaaaa! Hureeeeeeeee! haya ndiyo mabo bwanaaaaaa1

 8. star tv mko juu. nipo mimi nipo huku ujerumani nawapata kwa ufasaha kabisa, ila nilitaka nisikilize mpira wa yanga na jkt ruvu mbona ks fm siipati?

 9. Hongera startv kwa matangazo mazuri kwa sasa watu wengi hupenda kuangalia matangazo mbalimbali kupitia startv

 10. Star TV hoyee iko juu. Congratulations

 11. Ni vizuri kuwashukuru Dullonet kwa kutuwekea “link” ya STARTV Live katika mtandao wao, lakini ni vizuri pia tukawashukuru na STARTV wenyewe ambao bila ya wao kuanza kujiweka “live” katika internet wasingepatikana “live” katika internet. Hivyo, nenda katika website zao hizi: http://www.startv.co.tz au http://www.startvtz.com, kisha bofya SartTV Live utawapata “live”, halafu waandikie shukrani zako kwa kweli itazidi kuwapa moyo kuendelea kupatikana “live”.

 12. Star tv!..Hureee!!!

 13. Mmetutoa kimaso maso mbele ya wageni wengine tunaoishi nao huku nje ya Tanzania angalau na sisi Watanzania tunapata TV yetu “live” maana huwa tunatambiwa sana na wenzetu ambao TV zao zinapatika live katika internet. Katika kubishana nao tukiwaambia sisi nao tunazo TV nyingi Tanzania hutushinda kwa kutuambia TV gani hizo mnazojidaia ambazo hata kwenye internet hazipaikani “LIVE”. Hivyo, tunaomba STAR TV hiyo mtuwekee “LIVE” siku zote angalau tunapata kujifutia nayo machozi mbele ya hawa wenzetu wanaotutambia huku ughaibuni.

 14. Dullonet, ahsanteni sana tena sana kwa kutuwekea STAR TV “live”. Tunafarijika sana na hasa kwa sisi tunaoishi nje ya Tanzania mnatuwezesha kupata taarifa za nyumbani “live”. Ni kweli mnakwenda na wakati. Tunaomba muendelee hivyo hivyo kutuwekea hiyo TV “live” siku na saa zote. Thank you so much indeed. Mungu akubarikini sana.

 15. Hongereni sana viongozi wa star TV. Kwenda na wakati ni jambo jema

 16. Hongereni sana STAR TV

 17. Siangalii taarifa ya habari tbc tena.

 18. nimekubali npo ndani ya china kama nipo dar star tv live mnatisha sana

 19. Dullonet Live “muko” juu…….”STARTV Live”……congratulations!!!!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

Error: Cannot reach twitter servers or incorrect username