Thursday , 17 April 2014
Latest News
Home » Dullonet Live

Dullonet Live

16,021 total views, no views today

VN:F [1.9.22_1171]
Rating: 5.5/10 (157 votes cast)
VN:F [1.9.22_1171]
Rating: +31 (from 71 votes)
Dullonet Live, 5.5 out of 10 based on 157 ratings

31 comments

 1. Nchi hii haina tofauti na ndege ya Malasyia iliyopotea

 2. bunge vipi mbona story tu

 3. Proud of you guys! Getting live coverage of our Bunge session.

 4. nalipata wapi Bunge live

 5. thanx kwa hiloo,nipo room nafanya assigment huku nasikia bunge linaendeleaje…thanx sou much

 6. Kulikoni leo na redio maria, nimejaribu mara nyingi lakini siipati!

 7. da! wadau mbona kiss fm hatuipati nn tatizo…waungwana

 8. ahsante dullo kwa kutupatia ladha mbalimbali za habari na radio pia. kwa sasa nainjoy city radio umetudaidia sana sisi wa mbali kufurahia mazuri ya nyumbani.big up

 9. Satarday nite live show Inakwenda hewan muda huu xo Endelea kuskiliza Kiss fm

 10. Salamu….Wakuu wangu, dullonet Live – mnaweza kunisaidia hapo maana nina siku kadhaa sasa kitu kama wiki hivi siwapati hewani….naomba msaada japo kwa maelezo tu juu ya nini kinaendelea….niko Alexandria.

 11. goodluck mwemutsi

  thankx watching live bunge

 12. I am not getting live but only listening live! do others also!!!!!!!

 13. Tuko pamoja @ Tungaraza

 14. Angelus Tungaraza

  Inapendeza uata maangazo ya bunge live na mpira hs kwetu tuaokaa aofisini mu refu saana!!

 15. Tuko pamoja katika ujenzi wa taifa, @ Lazaro

 16. well done dullo!……Ahsante kutuunganisha “live” na watunga sheria wetu hawa!

 17. pamoja na mapungufu yalijitokeza nawapongeza kwa kzai nzuri sana, kwani watu wa maofisini tunaweza kusikiliza bunge kwa uzuri .

 18. Ok Muya tumesharudisha kama mwanzo, asante.

 19. Turudishieni na audio option, hii tv inatusumbua wenye low bandwidth

 20. Inasikika vizuri kabisa, jaribu tena

 21. mimi mbna siipati vzru mawasiliano yanakatikakatika ..

 22. Sawa tutaweka Bunge, asante kwa ushirikiano wako,

  Dullo

 23. Guys, make sure mnabaki online kwenye bunge jioni ya leo ili tusikilize ishu ya NSSF iliyoletwa kwa dharura. Wengine tuko mbali na tunategemea kufuatilia mambo ya bungeni kupitia website yenu. mambo ya mpira muwaachie kiss FM

 24. how can i watch live bunge with picture, i just hear only audio

 25. Do you guys watch live or you just listen live? I can just get live audio adverts!

 26. No video, only audio/voice, please need assistance

 27. Andrew Kato Peter

  Thank you a lot as we can get bunge live bila chenga!

 28. DULLONET NI KIBOKO

 29. I Love it

 30. Mpendazote Mkude

  MBONA SIONI KITU

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>