Saturday , 10 October 2015
Latest News

Kissfm Mwanza


VN:F [1.9.22_1171]
Rating: 7.2/10 (36 votes cast)
VN:F [1.9.22_1171]
Rating: +9 (from 17 votes)
Kissfm Mwanza, 7.2 out of 10 based on 36 ratings

31 comments

 1. aaah! kumbe n dj alleckoy upo kwa kiss colouble show,,,big up sana kk……

 2. du! kiss coloble n noma,,,,dj anatupigia za mbele za kufa mtu ni noma,,big up dj

 3. dah dj maliz ni noma kuna siku alipiga hizo bolingo hadi noma hadi akasaau kuunganisha na mitambo yalive dar kwenye mpira wakabakimkusema studio kama unasikia naomba ujibi,,,dj maliz punguza mzuka huo…
  me jumamosi saa nane kama sipo nyumbani nakuwa nasimu yangu na ear phones nakula sebene….

 4. Tatizo ni upande wako, uko iko safi kabisa, Enjoy!

 5. siwapati online tioka njombe ni mm au ninyi tatizo

 6. wooooooo!!!!!!listen kiss fm live from antananarivo madagascar…….missin you all tzn

 7. HUYO NI DJ MALIZ MWANA@KAY

 8. Kwa tulio mbali na mawimbi ya kissfm saiv tutapata american top 40 bila chenga pamoja na weekend top 30. Keep it kisssssssssss

 9. dah mpo safi sana…
  sasa naweza kula news offic bila hata chenga..
  ushauri msiweke online tv course watu hatutafanya kazi tena ba_ndugu

 10. dj wa ndomolo jumamosi saa 8 hadi 10:30 ni nani…
  dah ni mkali sana

 11. @exactly 18:00-20:00 mondays to fridays nakuwa kwa hewa with AFRICAN BEATS…TOP…UJAZOOO,pata beats, pata flavaz…pata swaggz….usikose…”KAA SAWA”

 12. D7 wasomeka vizur sana kaka kwa TOP7 ndan ya Jamriddimixxx

 13. Wad up the rocker! So nice to get u guys online. keep on kissing. Holla…

 14. pamoja kinachotakiwa juhudi sana

 15. Kiss fm Sweden tunawapata:))) kudoz!

 16. Yeah…Wordup! Listen to most shows from KISS FM right now… Catch KISS COLLABO MIXSHOW right here, follow us on twitter http://www.twitter.com/collabomixx

 17. Niaje niaje….
  Dah..kimya kimya ndo system,no promo wala nini wenye machale tunakula ngoma mtandaoni tu.100

 18. yeeeeeeeeeeeeree…..

 19. Shinyanga fm hampatikani,ndo mmetutenga??

 20. Bernard Aminiel Mashingo

  great stuff at kiss fm, meet me and sammy boy the guy with the master plan on the morning show, and the drive time

 21. Hey inakuajee hapo mjengoni, nawapata online hapa bila chenga yan, Moshi KLM 1 hii,………

 22. safii sana nipo germany but naskiliza radio ya home kiss fm safiii

 23. Dee Seven mbona hamtangazi kama mnapatikana online jamani, mpaka mtu ufanye kubahatisha, lakini nawapata safi kabisa

 24. Great….

 25. niceeeeeee……..enjoying now

 26. Dah mambo sindio sasa

 27. oyiiiiiiiiiiiiiiii de seven mmcheza kama pele

 28. yeah babe,mzima lakini wewe,hivi mjomba wangu hajambo?@khadija

 29. Nilikuwa nasubiri saana hichi kitu D7 unajua mwenyewe

 30. now you can catch your fav deejays and presenters all over di world,don’t miss THE JAMRIDDIMIXXX with me Dee Seven tomorrow (Sundays) starting from 11:00 to 13:00..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

Error: Cannot reach twitter servers or incorrect username