Friday , 21 October 2016
Latest News

Waziri wa Afya atembelea Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya jijini Dar

Kaimu Mkurugezi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Hamis Mdee akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid nakala ya Taarifa ya Utekelezaji wa Mfuko huo,wakati wa ziara ya Waziri kwenye Ofisi za Mfuko huo,jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid akizungumza na watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (hawapo pichani) wakati alipotembelea Ofisi za Mfuko huo,jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid (wa tatu kulia) akifuatilia namna Mfumo mpya wa kushughulikia madai ya wanachama (eClaims) unaotumiwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.anaetoa maelezo ni Mkurugenzi wa Mfumo wa Habari,Bw. Ally Othman.
Baadhi ya wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakisalimiana na Dk. Pamela Sawa kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Waziri akisalimiana na wafanyakazi wa Mfuko.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid akiongozana na Mwenyekigti wa Bodi, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF na baadhi ya wajumbe wa bodi kuelekea ukumbini kuzungumza na watumishi wa Mfuko huo.
VN:F [1.9.22_1171]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.22_1171]
Rating: 0 (from 0 votes)

About Yusuph Abdul