Dullonet Tanzania | Watanzania wampa 5 Rais Kikwete Comoro
Home                   Burudani               Chatroom            Contact Us             About Us                       Maintenance
Copyright @ 2010 Dullonet.com. All Right Reserved
Halmashauri kuu ya Umoja wa  Ulaya imetoa mwito kwa nchi ishirini na saba wanachama zitekeleze ahadi zao kuhusu msaada wa maendeleo.

Mwaka jana, nchi wanachama wa jumuiya ya Ulaya zilitoa jumla ya Euro bilioni 49 kwa nchi maskini ambayo ilikuwa  sawa na asilimia 0.42 ya pato jumla la ndani .

Jitihada zaidi zitahitajika kwa Umoja  wa Ulaya kufikia lengo la msaada wa asilimia 0.56 ya pato lake la ndani mwaka huu. Kiwango hicho cha jumla kiliahidiwa kama sehemu ya kutimiza malengo ya milenia ya Umoja wa Mataifa.


























Posted by Dullonet: 22.04.2010                                 Source:
Written by: Brusels, Ubelgiji




Dullonet Tanzania Online Instant Chatroom
Dullonet Tanzania Online Music
.............Tanzania Website Network...........
Video za habari na matukio Mbalimbali.