Dullonet Tanzania | Hatimaye Munisi wa EPA adhaminiwa
Home                   Burudani               Chatroom            Contact Us             About Us                       Maintenance
Copyright @ 2010 Dullonet.com. All Right Reserved
Happybirthday B12, Picha kwa hisani ya Michuzi JR Blog
WAREMBO 20 wanaowania taji la Miss Universe Tanzania 2010 wametembelea Kampuni ya Bia ya Serengeti na kujionea jinsi bidhaa za kampuni hiyo zinavyotengenezwa.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo Meneja Bidhaa wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Nandi Mwiyombela aliwataka warembo hao kuonesha vipaji vyao wakati wa fainali za shindano hilo.

“ Kampuni yetu imejikita katika kusaidia vipaji vya vijana katika nyanja mbalimbali ikiwemo urembo, hapa mlipo wote ni washindi,” alisema na kuwataka warembo hao kuwa mfano katika kulinda heshima yao ili wasitumbukie katika uovu.

Warembo hao wanawania kurithi taji hilo linaloshikiliwa na Iluminata James, ambapo shindano hilo litafanyika Ijumaa wiki hii kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.













Posted by Dullonet: 21.04.2010                                                   Source:
Written by:  Mwandishi Maalum
 






Dullonet Tanzania Online Instant Chatroom
Dullonet Tanzania Online Music
Video za habari na matukio Mbalimbali.
.............Tanzania Website Network...........
Video za habari na matukio Mbalimbali.