Dullonet Tanzania | Idadi kubwa ya wanafunzi waacha shule Kigoma
Home                   Burudani               Chatroom            Contact Us             About Us                       Maintenance
Copyright @ 2007 Dullonet.com. All Right Reserved
Entertainment News
Website Designing
We're specialized in developing website's that work. .. More
PC Networking
The Networking  specialises in IT and Network Support ... More
PC Maintenance
PC Repair and Computer maintenance, for the home / business user... More
Waziri wa Usafirishaji wa Ufaransa amesema ndege ya Yemen iliyoanguka katika pwani ya bahari ya Hindi ikiwa na watu 153, ilibainika kuwa na matatizo miaka miwili iliyopita.


Waziri huyo Dominique Bussereau amesema ndege hiyo aina ya airbus 310  ilibainika kuwa na matatizo mwaka 2007 ilipofanyiwa uchunguzi nchini humo na toka wakati huo haikurejea Ufaransa.

Msichana mdogo ndiyo pekee inayoaminika kuwa amesalimika katika ajali hiyo iliyotokea wakati ndege hiyo ilipokuwa ikijianda kutua katika visiwa vya Komoro.











 



.














.
.


.





Online Radio Live
Posted by Dullonet: 01.07.2009
Written by: Mwandishi wa DW
Wengi wa abiria waliyokuwa ndani ya ndege hiyo walipandia Yemen wakitokea Ufaransa.

Baadhi ya watalaam wa Komoro waliyoko Ufaransa wamesema kuwa walishawahi kuilalamikia Ufaransa juu ya usalama wa ndege za shirika hilo la Yemen.

Wakati huo huo Waziri wa Ushirikiano wa Ufaransa Alain Joyandet amesema, kisaduku kidogo cheusi ambacho hutumika kurekodi mwenendo wa safari za ndege kimepatikana.
































 




 





 



.














.
.


.





Moja ya ndege za Yemenia Air